Simba Sports Club
News

Timu yaanza Maandalizi ya Nusu Fainali ASFC

23 May 2022

Baada ya sare katika mchezo wa jana dhidi ya Geita Gold tunaelekeza nguvu zetu katika michuano ya ASFC ambapo tutashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba Jumamosi saa tisa alasiri.

Lengo letu ni kuhakikisha tunatetea ubingwa wa michuano hiyo na tutahakikisha tunashinda mchezo wa Jumamosi

Advertisement
Back to homepage
Share this story