Simba Sports Club
News

Timu kurudi mazoezini kesho kujiandaa na Dodoma Jiji

19 Jan 2023

Baada ya ushindi wa jana mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja kwenda na kesho wachezaji watarejea mazoezini.

Wachezaji wapya tuliowasajili katika dirisha hili Hamed Ismael Sawadogo, Jean Baleke na Mohamed Mussa watashiriki mazoezi ya kesho.

Advertisement

Kama Kocha Mkuu Roberto Oliviera 'Robertinho' na wasaidizi wake wataona inafaa wanaweza kuwatumia katika mchezo huo kwa kuwa masuala yao ya vibali tayari yamekamilika.

Back to homepage
Share this story