Simba Sports Club
News

Timu kurejea mazoezini Jumamosi

28 Nov 2024

Kikosi kitarejea mazoezini Jumamosi kujiandaa na mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya Constantine ya Algeria utakaopigwa Disemba, 8 saa moja usiku.

Jambo jema ni kwamba katika mchezo wa jana hakuna mchezaji aliyepata majeraha hivyo wote watarejea mazoezini Jumamosi wakiwa timamu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story