Simba Sports Club
News

Timu kurejea mazoezi kesho

24 Nov 2025

Baada ya mchezo wa jana dhidi ya Petro De Luanda wachezaji walipewa mapumziko na kesho watarudi mazoezini kujiandaa na Stade Malien.

Mchezo dhidi ya Stade Malien utapigwa nchini Mali, Jumapili saa 10 jioni kwetu Tanzania itakuwa saa moja usiku.

Advertisement
Back to homepage
Share this story