Kabla ya safari kikosi kitafanya mazoezi ya utimamu wa mwili katika Uwanja wa Mo Simba Arena saa tatu asubuhi.
Jana wachezaji walipewa mapumziko baada ya mchezo wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers tulioibuka na ushindi wa bao moja.
Advertisement
Tunaifuata Mtibwa tukiwa tunajua haitakuwa mechi rahisi kutokana na ubora walionao hasa kwakuwa wapo katika uwanja wa nyumbani.