Jumapili Februari 22 kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri kuikabili Tanzania Prisons na Februari 25 tutacheza na Dodoma Jiji.
Kikosi kitaondoka na wachezaji wote ukiacha wale majeruhi wanaoendelea na matibabu.