Mchezo huo utapigwa Jumapili Februari 20, katika Uwanja wa Jenerali Senyi Kountche uliopo Niamey saa moja usiku kwa saa za nyumbani ambapo nchini Niger itakuwa saa 11 jioni.
Timu itaondoka ikiwa na kikosi kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao tunaamini utakuwa mgumu lakini tunahitaji kupata alama yoyote.
Advertisement
Tunaenda kucheza mchezo huo tukiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi wa mabao 3-1 tuliopata kwenye mechi ya kwanza nyumbani dhidi ya ASEC Mimosas.