Simba Sports Club
News

Timu kuondoka kesho kuifuata Coastal jijini Arusha

27 Feb 2025

Baada ya kufika Arusha kesho jioni kikosi kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kujiweka sawa kabla ya kuivaa Coastal Jumamosi.

Wachezaji wote 22 ambao watakuwepo kwenye safari wapo kwenye hali nzuri kuhakikisha wanapambana ili kuisaidia timu kupata alama tatu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story