Simba Sports Club
News

Timu kuondoka kesho kuelekea Zanzibar

31 Dec 2025

Kikosi kitaondoka na jumla ya wachezaji 24 ambao tunaamini watatoa upinzani mkubwa na watafanikisha malengo tuliyojiwekea.

Kocha mkuu, Steve Barker amepanga kutumia michuano ya Mapinduzi kwa ajili ya kuwafahamu wachezaji mmoja mmoja ambayo itamsaidia kuandaa kikosi kuelekea mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Ligi Kuu ya NBC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story