Simba Sports Club
News

Timu kuondoka kesho kuelekea Singida

8 Mar 2026

Kikosi kitaondoka na wachezaji wote ambao sio majeruhi kwakuwa tutakuwa na michezo miwili ya ugenini dhidi ya Singida Jumatano na TRA United Jumamosi utakaopigwa jijini Arusha.

Tumeupa umuhimu mkubwa mchezo huo ambao alama tatu ndio kitu pekee kipo kwenye vichwa vyetu ingawa tunafahamu haitakuwa kazi rahisi.

Advertisement

Tunaondoka jijini Dar es Salaam tukiwa na malengo ya kupata alama tisa katika mechi zetu tatu za ugenini dhidi ya Singida Black Stars, TRA United na baadae Pamba Jiji.

Back to homepage
Share this story