Kikosi kitaondoka na wachezaji 25 benchi la ufundi na baadhi ya viongozi kutoka Bodi ya Wakurugenzi.
Mchezo dhidi ya Big Bullets utapigwa saa tisa alasiri kwa saa za Malawi ambapo nyumbani itakuwa saa 10 jioni.
Advertisement
Malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda katika mchezo wa Jumamosi ili kujiweka kwenye mazingira mazuri kwenye mechi ya marudiano.