Simba Sports Club
News

Timu kuondoka Jumatano kuelekea Zanzibar

20 Apr 2026

Baada ya kurejea Dar es Salaam wachezaji wamepewa mapumziko ya siku ya moja na kesho watarejea mazoezini kujiandaa na mashindano hayo.

Tutaondoka na kikosi kamili kuelekea Zanzibar kwakuwa tunafahamu tunaenda kukutana na timu ngumu.

Advertisement

Mchezo wetu wa kwanza kwenye michuano hiyo utakuwa siku ya Alhamisi dhidi ya Mafunzo FC utakaopigwa katika Uwanja wa New Amaan saa 2:30 usiku.

Back to homepage
Share this story