Kikosi kitaondoka na wachezaji 25, benchi la ufundi na watu kutoka Menejimenti ambapo kitapitia Ethiopia kabla ya kufika Misri.
Mchezo wetu wa marudiano dhidi ya Al Ahly utapigwa Jumanne saa 11 jioni jijini Cairo ambapo tunahitaji ushindi ili kufuzu hatua ya nusu fainali.