Kikosi kitaondoka na wachezaji 22 ambapo kitapitia Ethiopia kabla ya kuunganisha mpaka Angola.
Mchezo dhidi ya Petro De Luanda utapigwa Jumamosi saa moja usiku katika Uwanja wa Novemba 11.