Simba Sports Club
News

Timu kuingia kambini kujiandaa na Mtibwa Sugar

19 Jan 2022

Baada ya kikosi kurejea jana mchana kutoka jijini Mbeya wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja na leo wameanza mazoezi na moja kwa moja timu imeingia kambini.

Wachezaji wote wataiingia kambini tayari kwa maandalizi ya mchezo huo ambao tunaamini utakuwa mgumu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story