Kikosi kitaondoka na wachezaji 22 na benchi zima la ufundi kwa usafiri wa Ndege ya Air Tanzania kikipitia Afrika Kusini kabla ya kuunganisha mpaka Eswatini.
Baada ya kufika Eswatini kikosi kitakuwa na muda wa siku mbili kufanya mazoezi kabla ya Jumapili kushuka dimbani kuwakabili Nsingizini.
Advertisement
Mchezo dhidi ya Nsingizini utapigwa katika Uwanja wa Taifa wa Somhololo saa 10 jioni kwa saa za Tanzania.