Mabingwa Tawi la Chui ndio wenyeji wa Bonanza la Ubaya Ubwela kwakuwa limefanyika Temeke ambako wanatokea.
Bao pekee kwenye mchezo huo limefungwa na Hamis Abdallah kwa mpira wa adhabu uliotinga wavuni moja kwa moja dakika ya kwanza.
Advertisement
Mabingwa Tawi la Chui wamekabidhiwa Kombe pamoja na medali.