Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Soud Ayubu Chamshama msiba upo nyumbani kwake Chang’ombe, Maduka Mawili na mazishi yatafanyika Jumanne Agosti 15, kijijini kwao Kilole, Lushoto, mkoani Tanga.
Uongozi wa Simba unatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo ya mpendwa wetu.
Advertisement
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.