Simba Sports Club
News

Tabiri: Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Singida FG

10 Aug 2023 By simbasc 198 views
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Singida Fountain Gate kwenye Mchezo wa pili wa Ngao ya Jamii. Unadhani Kocha Mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' atapanga kikosi gani kwenye mchezo wa leo.
Advertisement
Back to homepage
Share this story