Simba Sports Club
News

Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Coastal Union

21 Sep 2023 By simbasc 149 views
Leo saa 10 jioni kikosi kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya NBC. Weka utabiri wako wa kikosi ambacho unaamini kocha mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' atakipanga.  
Advertisement
Back to homepage
Share this story