Simba Sports Club
News

Tabiri kikosi kitakachopagwa dhidi ya Kagera Leo

15 Dec 2023 By simbasc 539 views
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri hapa kikosi ambacho unaamini kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha atakipanga dhidi ya timu hiyo.
Advertisement
Back to homepage
Share this story