Simba Sports Club
News

Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya Yanga Leo

16 Apr 2023 By simbasc 340 views
Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri hapa Kikosi cha kwanza ambacho unaamini kocha Robertinho atakipanga.
Advertisement
Back to homepage
Share this story