Simba Sports Club
News

Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya Wydad Leo

28 Apr 2023 By simbasc 304 views
Kikosi chetu leo saa nne usiku kitashuka katika Uwanja wa Mohamed wa V kuikabili Wydad Casablanca kutoka Morocco katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Tabiri hapa Kikosi cha kwanza ambacho unaamini kocha Robertinho atakipanga.....
Advertisement
Back to homepage
Share this story