Simba Sports Club
News

Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya Vipers Leo

7 Mar 2023 By simbasc 343 views
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Vipers katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Tabiri hapa Kikosi cha kwanza ambacho unaamini kocha Robertinho atakipanga.....
Advertisement
Back to homepage
Share this story