Simba Sports Club
News

TAARIFA YA UDHAMINI

14 Jul 2022 By simbasc 2,100 views
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri, M-BET, kama mdhamini mkuu. Mkataba kati ya Simba SC na M-Bet ulisainiwa Julai 1 2022. Taarifa zaidi kuhusu udhamini huu zitatolewa na pande zote mbili siku ya Jumatatu, Agosti 01 2022.
Advertisement
Back to homepage
Share this story