.
Wachezaji hao walishindwa kuendelea na mchezo huo ambao tuliibuka na ushindi wa mabao 5-1 na kutupeleka Nusu Fainali ya michuano ya ASFC.
Daktari wa timu, Edwin Kagabo amesema nyota hao jana wamelepekwa hospitali na wamefanyiwa vipimo ili kujua ukubwa wa majeraha waliyopata.
Advertisement
Dk. Edwin amesema Inonga hajapata majeraha makubwa amepewa mapumziko ya siku mbili na ataungana na kikosi baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya.
Kwa upande Manula yeye atafanyiwa vipimo zaidi Jumanne ingawa inaonekana hajapata madhara makubwa.