Simba Sports Club
News

TAARIFA KWA UMMA

22 Sep 2025

Makubaliano haya ni matakwa binafsi ya kocha Fadlu kwa uongozi wa klabu.

Klabu ya Simba inamshukuru Kocha Fadlu kwa kuiongoza Simba kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita na kumalizia nafasi ya pili kwenye Ligi kuu ya NBC.

Advertisement

Uongozi wa klabu unamtakia kheri na baraka kocha Fadlu katika maisha yake ya soka nje Simba.

Back to homepage
Share this story