Simba Sports Club
News

TAARIFA KUHUSU PAPE SAKHO

24 Jul 2023

Tunapenda kumshukuru kwa dhati Sakho kwa mchango wake mkubwa pamoja na utumishi wake uliotukuka kwa muda wote tuliokuwa nae kikosini.

Ikumbukwe akiwa kwenye kikosi chetu Sakho ameshinda tuzo ya bao bora la Mashindano ya CAF msimu wa 2021/22.

Advertisement

Klabu ya Simba inamtakia kila la kheri Sakho kwenye timu yake mpya.

Back to homepage
Share this story