Simba Sports Club
News

Taarifa kuhusu hali ya Banda

10 Nov 2022

Baada ya mchezo kumalizika Banda alipelekwa hospitali mkoani Singida ili kupimwa na kujua ukubwa wa jeraha na kupata huduma.

Leo kikosi kimerejea jijini Dar es Salaam na moja kwa moja Banda alipelekwa hospitali kupata vipimo zaidi ambapo imefahamika atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu au nne.

Advertisement

Hii inamaanisha katika mechi zetu zote zilizopo mwezi huu hatutakuwa nae mpaka mwanzoni au katikati ya Disemba.

Back to homepage
Share this story