Simba Sports Club
News

Simba Queens yashusha kiungo mpya

15 Jan 2025

Zawadi ni mchezaji kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 18 ambaye tumemsajili kutoka Fountain Gate Princess.

Zawadi ambaye anamudu nafasi ya kiungo mkabaji na ushambuliaji amesaini mkataba wa miaka miwili.

Advertisement

Moja ya kitu kilicholivutia benchi letu la ufundi kumsajili Zawadi ni uwezo wake uwanjani pamoja na umri wake ambao unamfanya kuendelea kucheza soka kwa muda mrefu.

Back to homepage
Share this story