Simba Sports Club
News

Simba Queens yarejea nchini

30 Aug 2024

Baada ya kuwasili wachezaji wamepewa mapumziko ya wiki moja kabla ya kurejea mazoezini kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Baada ya muda huo kikosi kitarejea mazoezini kujiandaa na ligi ya ndani ambayo tunahitaji kutetea taji letu.

Advertisement

Ingawa haikuwa malengo yetu kwenye michuano hii kutotwaa ubingwa lakini haiwezi kuturudisha nyuma kutetea taji letu la Ligi.

Back to homepage
Share this story