Kamati ya Soka la Wanawake katika kikao chake kilichopita kineona JKT wamevunja kanuni ya 32.1-3 wa Ligi Kuu ya Wanawake Toleo la mwaka 2023.
Mbali na Simba Queens kupewa pointi tatu na mabao matatu JKT Queens pia imepokwa pointi tano na kupigwa faini ya Shilingi 3,000,000 kwa mujibu wa kanuni.
Advertisement
Hii inatufanya kupanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara tukifikisha pointi 22 huku tukifiatiwa na JKT na Ceassia Queens wenye alama 16 kila mmoja.