Simba Sports Club
News

Simba Queens waanza mazoezi kujiandaa na SLWPL

14 Nov 2023

Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Mbeni Veterani chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.

Kikosi kimeanza mazoezi mapema kujiandaa na msimu mpya mapema kabla ya ratiba kutangazwa kwakuwa lengo letu ni kuhakikisha tunarejesha taji letu la ubingwa tulilopoteza msimu uliopita.

Advertisement
Back to homepage
Share this story