Simba Sports Club
News

Sibusiso Makhula Kocha mpya wa Viungo

30 Dec 2025

Ujio wa Sibusiso ni muendelezo wa kuboresha benchi la ufundi baada ya kutua kwa kocha mkuu, kocha wa makipa na mtathimini video.

Sibusiso (33) raia wa Afrika Kusini ni kocha mwenye uzoefu na amewahi kuzifundisha Upington City, Orlando, Sikukhene pamoja na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story