Simba Sports Club
News

Serikali yatupongeza kwa kufuata maelekezo

21 Jan 2024

Pongezi hizo zimetolewa na Nicholaus Mihayo aliyekuwa akimuwakilisha Katibu Mkuu wa BMT katika Mkutano Mkuu wa Wanachama unaoendelea katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere.

Mihayo ameongeza kuwa Serikali inapenda kuona maelekezo inayotoa yanafuatwa yote kwa wakati na ndicho tulichokifanya.

Advertisement

"Tunaipongeza Simba kwa kufuata maelekezo na kuyafanyia kazi maboresho ya katiba. Hili ni jambo la mfano kwa timu nyingine. Serikali inawatakia kila la kheri," amesema Mihayo.

Back to homepage
Share this story