Simba Sports Club
News

Saba waitwa Taifa Stars

31 May 2025

Taifa Stars itaingia kambini Jumatatu, Juni 2 kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) na mashindano ya COSAFA dhidi ya Eswatini na Madagascar.

Nyota hao walioitwa ni mlinda mlango Ally Salim walinzi Shomari Kapombe, Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' na Abdulrazack Hamza.

Advertisement

Wengine ni viungo Yusuph Kagoma na Kibu Denis pamoja na mshambuliaji Valentino Mashaka.

Back to homepage
Share this story