Rweyemamu anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya kupita mwaka mmoja kutokana na kupewa majukumu mengine kwenye timu ya vijana.
Tayari Rweyemamu amejiunga na kikosi nchini Misri kuendelea na maandalizi ya msimu mpya wa mashindano.
Advertisement
Kabla ya kubadilishiwa majukumu kwenda timu ya vijana Rweyemamu alikuwa Meneja wa timu eneo ambalo alihudumu kwa muda mrefu.