Simba Sports Club
News

Robertinho, Ntibazonkiza waibuka kideda NBCPL Mei

11 Jun 2023

Robertinho amewashinda Melis Medo wa Dodoma Jiji na Daniel Cadena wa Azam FC ambao alikuwa ameingia nao fainali ya kinyang'anyiro hicho.

Robertinho ametuwezesha kuahinda mechi tatu za Mwezi Mei ambazo zilikuwa dhidi ya Ruvu Shooting, Polisi Tanzania, Coastal Union na sare moja dhidi ya Namungo FC.

Kwa upande wake Said Ntibazonkiza amechaguliwa mchezaji bora wa Mwezi Mei wa Ligi Kuu ya NBC.

Advertisement

Katika mwezi Mei, Ntibazonkiza amefunga mabao saba na kusaidia kupatikana kwa mengine mawili.

Ntibazonkiza amewashinda Prince Dube wa Azam FC na Charles Ilamfia ya Mtibwa Sugar aliokuwa wameingia nao fainali ya kinyang'anyiro hicho.

Back to homepage
Share this story