Simba Sports Club
News

Robertinho: Ni furaha kucheza vizuri na kupata ushindi mnono

12 May 2023

Robertinho amesema ni jambo jema kucheza soka safi na kupata ushindi mnono sababu inaongeza furaha kwa mashabiki.

Robertinho pia amesema aina yake ya ushangiliaji katika mabao ya leo alikuwa anajaribu kuwapa furaha mashabiki waliojitokeza.

Advertisement

"Nimefurahia ushindi wa leo kwa sababu mbili, kwanza tumecheza vizuri halafu pia tumepata mabao mengi, hilo ndilo kubwa."

"Kuhusu nilivyokuwa nashangilia nilikuwa nawafurahisha mashabiki ambao walikuwa wakiniambia nicheze," amesema Robertinho.

Back to homepage
Share this story