Simba Sports Club
News

Robertinho, Baleke wakabidhiwa tuzo zao za NBC

10 Apr 2023

Robertinho amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi uliopita baada ya kuwashinda Nasreddine Al Nabi wa Yanga na Abdallah Mohamed 'Baresi'wa Tanzania Prisons.

Kwa upande wa Baleke amewashinda Daruweshi Saliboko wa KMC na Jeremia Juma wa Tanzania Prisons.

Advertisement

Wawili hao wamekabidhiwa tuzo maalum kutoka Bodi ya Ligi, mfano wa hundi ya Sh. 1,000,000 pamoja na Kisimbuzi cha Azam TV.

Back to homepage
Share this story