Simba Sports Club
News

Ratiba ya Simba Queens Michuano ya CECAFA

5 Aug 2024

Queens itaanza kutimua vumbi Agosti 18 kwa kucheza. A Fad Djibouti kutoka Djibouti mtanange utakaopigwa Uwanja wa Abebe Bikila.

Mchezo wa pili wa Queens utakuwa dhidi ya Kawempe Muslim utakaopigwa Agosti 20 katika Uwanja huo huo wa Abebe Bikila.

Advertisement

Simba Queens itakamilisha mchezo wa hatua ya makundi kwa kucheza dhidi ya RVP Buyenzi Agosti 22 pia katika dimba la Abebe Bikila.

Back to homepage
Share this story