Rais Samia ametuma salamu hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter akionyesha kuthamini kazi kubwa tuliyofanya ya kuingia hatua na kupeperusha vema bendera ya nchi.
Katika salamu hizo, Rais Samia ameandika:
Advertisement
"Kongole Simba kwa ushindi wa bao 1-0 (ushindi wa jumla 4-1) mlioupata dhidi ya Premiero De Agosto ya Angola na kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika. Nawatakia kila la kheri katika michuano inayofuata."