Simba Sports Club
News

Queens yawaacha nyota 11

14 Jul 2025

Mabadiliko hayo yanatokana na malengo tuliyojiwekea kuelekea msimu ujao hasa ukizingatia msimu uliopita tulishindwa kutetea ubingwa wetu.

Nyota hao wengi wao mikataba yao imemalizika huku wachache wakiondoka kutokana na makubaliano ya pande mbili.

Wachezaji hao ni Ritticia Nabbosa, Precious Christopher, Wincate Kaari, Asha Djafari na Gelwa Yonah.

Advertisement

Wengine ni Josephine Julius, Asha Rashid

Mary Saiki, Carolyene Rufa, Jackline Albert na Daniella Ngoyi.

Back to homepage
Share this story