Diakiese anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa Queens kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano 2023/24 ambao unatarajiwa kuanza Desemba 15.
Tayari winga hiyo amejiunga na wenzake kambini na anaendelea na mazoezi chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.
Advertisement
Kikosi cha Queens kinaendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiwinda na mechi za Ngao ya Jamii pamoja na kuanza kwa Ligi.