Simba Sports Club
News

Queens yashusha Straika Mkenya

22 Nov 2023

Wambui tumemsajili kutoka Gaspo FC ya Kenya na tuna imani nae kubwa kutokana na uwezo wake uwanjani.

Wambui tayari amejiunga na wenzake kuendelea na mazoezi ya kujiandaa na mechi za Ngao ya Jamii pamoja na Serengeti Lite Women's Premier League (SLWPL) ambayo inatarajia kuanza Desemba 15.

Advertisement

Usajili wa Wambui unakuwa ni wanne katika kikosi cha Queens baada ya Diakiese Isabelle (Nigeria), Ritticia Nabbosa (Uganda) Ainembabazi Joanitah (Uganda).

Back to homepage
Share this story