Simba Sports Club
News

Queens yashusha straika kutoka Uganda

20 Nov 2023

Ainembabazi anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa msimu huu kutoka Uganda baada ya jana kumtangaza Nabbosa Ritticia ambaye ni kiungo.

Ainembabazi tumemsajili kutoka Ceassia Queens ya Iringa ambaye anaijua vizuri Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier (SLWPL).

Advertisement

Mshambuliaji huyo anakuwa mchezaji watatu kusajiliwa kwenye kikosi cha Queens baada ya Diakiese isabelle na Nabbosa.

Tunaendelea kukisuka kikosi chetu kuelekea msimu mpya wa mashindano ambao unaanza mwezi ujao huku lengo letu likiwa kuchukua ubingwa wa SLWPL.

Back to homepage
Share this story