Kiungo huyo fundi raia wa Kenya, anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa kikosini kuelekea msimu mpya wa ligi 2022/23 baada ya jana kumnyakua mshambuliaji, Zainab Mohamed.
Vivian ambaye ni Nahodha Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Kenya mwaka 2020 alikuwa anacheza Atletico Auriense ya Ureno.
Advertisement
Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka miwili kuchezea timu yetu ambayo tunaisuka kwa ajili ya kutetea ubingwa wetu msimu ujao.