Simba Sports Club
News

Queens yarejea Rabat baada ya kutinga nusu fainali

7 Nov 2022

Novemba 3, kikosi kilisafiri kutoka Rabat kuelekea Marrakech kwa ajili ya mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Green Buffaloes ambao tumeibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mchezo wetu wa nusu fainali ambao utapigwa Jumatano Novemba 9, dhidi ya Mamelod Sundowns utafanyika katika mji wa Rabat.

Advertisement

Mechi zetu mbili za kwanza za hatua ya makundi dhidi ya wenjeji ASFAR FC na Determine Girls tulicheza katika mji wa Rabat .

Back to homepage
Share this story