Queens imepata tuzo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite Women's Premier League' (SLWPL).
Sebastian Nkoma amepata tuzo ya kocha bora wa mashindano baada ya kutuwezesha kutetea ubingwa wetu.
Advertisement
Mshambuliaji, kinara Asha Djafar ameshinda tuzo ya mfungaji bora wakati Fatuma Issa 'Fetty Densa' akichukua tuzo ya mchezaji bora wa msimu (MVP).
Mlinda mlango, Gelwa Yona amechaguliwa kipa bora wa mashindano kutokana na ubora mkubwa alio uonyesha.