Simba Sports Club
News

Queens yafanya mazoezi ya mwisho

8 Dec 2023

Queens ambayo ipo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda akisaidiwa na Mussa Mgosi ipo kwenye hali nzuri na kuhakikisha tunapata ushindi.

Lengo letu ni kuhakisha tunachukua taji la Ngao ya Jamii ili tuwe wa kwanza baada ya msimu uliopita kushindwa kutetea ubingwa wa Serengeti Lite Women's Premier League (SLWPL).

Advertisement

Mshindi wa mchezo wetu atacheza fainali na mshindi kati ya mabingwa watetezi JKT Queens na Fountain Gate Princess.

Back to homepage
Share this story